Tungo ni safi nzuri, ahsantuu tunzi huna dosari, wewe juu
Waenda njema safari, ya majuu Hassani wewe hodari, ni mkuu Beti zanukia wazi, karafuu Twafurahia Furaha kubwa azizi, sikukuu Mkono wenye pongezi